Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Kwa hima na juhudi za Jumuiya ya Ahl al-Bayt (a.s) ya Marneoli, Marasimu za Maombolezo ya Kifo cha Kishahidi cha Hazrat Fatimah (amani iwe juu yake) zilifanyika kwa kuhudhuriwa na kundi kubwa la Mashia.
26 Novemba 2024 - 19:20
Msimbo wa Habari: 1508424